TEN AWATUPIA DONGO TENA SIMBA, AKUMBUSHIA MABAO 8-0
Ofisa Habari wa Yanga, Dismas Ten, amewatupia dongo mashabiki wa Simba mara baada ya kuweka picha na maelezo kuelekea mchezo wao ujao dhidi ya TP Mazembe katika Ligi ya Mabingwa Afrika.
Katika POSTI yake, Ten ameambatanisha na picha inayoonesha namna Mazembe walivyoifunga Club Africain jumla ya mabao 8-0.
anaota huyu asubiri jumamosi
ReplyDeleteHuyu tatizo
ReplyDeleteThanx kwa tahadhar kwan hata Manara alkuwa tayr kushangilia jiwe yanga vs usm alger
ReplyDeleteLijinga tu .Timu yetu inakabiliwa na matatizo chungu nzima badala ya kushiriki kutafuta vyanzo vya mapato yeye kazi kuzungumzia yasiomhusu.Tuna matatizo yetu hatuna muda wa kushangilia ujinga.
ReplyDeletesimba ishakushika mkono mmoja kwenda kimataifa punguani wewe la sivyo ungezidi kucheza matopeni nangwanda sijaona
ReplyDeleteUkiona mwanaume ana mwanya basi mtilie shaka .Kuna kitu hakipo kamili.
ReplyDelete