VIDEO: MWINYI ZAHERA AILALAMIKIA TENA TFF, AELEZA KUZUNGUMZA NA KOCHA TP MAZEMBE
Kocha Mkuu wa yanga Mwinyi zahera amesema mwenendo wa ligi haiendi vizuri kutoka na baadhi ya timu kuwa na mechi nyingi ambazo hajizachezwa.
Yanga ilimaliza mchezo ikiwa pungufu baada ya mkongwe, Kelvin Yondan kuonyeshwa kadi nyekundu dakika ya 82 baada ya kumchezea rafu mchezaji wa Kagera Sugar, Kassim Khamis.
Matokeo haya yanaifanya Yanga kucheza jumla ya michezo 31 ikiwa imejikusanyia pointi 74 huku Kagera ikiwa imecheza michezo 32 na ina pointi 36 ikiwa nafasi ya 17 kwenye msimamo.
hapa ameongea kama mwanamichezo sio wale kina Dismas ten wanakaa kupayuka tu
ReplyDeleteKuna muda unaongea kma mtu ila kuna muda upo kma bwege
ReplyDelete