April 3, 2019


WAPINZANI wa Simba kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa hatua ya robo fainali, TP Mazembe wametia timu leo kwenye ardhi ya Bongo.

Kabla ya kutua Dar wakiwa kwa ndege yao binafsi ilitua uwanja wa Songwe, Mbeya kwa ajili ya kuongeza mafuta na kufanyiwa maboresho kidogo  na kupigwa upepo kidogo wa hapo kabla ya kuendelea na safari ya kuja Dar es Salaam.

 Mazembe watamenyana na Simba Uwanja wa Taifa Jumamosi huku kauli mbiu ya Simba ikiwa ni Yes We Can.

1 COMMENTS:

  1. hiyo janja yao haitawasidia , kutua songwe wanataka wawe karibu na zahera aliyesafiri na timu kwenda kupcheza na ndanda ili awape mbinu kama alivyofanya na AS Vita

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic