May 22, 2019


Imeelezwa kuwa beki wa kushoto wa klabu ya Yanga, Haji Mwinyi yupo kwenye mipango ya kusajiliwa na matajiri wa jiji la Dar es Salaam, Azam FC.

Taarifa zinasema Azam tayari walishaanza mazungumzo na mchezaji huyo ikiwezekana waweza kuwawahi Yanga ambao pia wana mazungumzo ya kuongeza naye mkataba mwingine.

Mwinyi ambaye amekuwa moja ya wachezaji tegemo ndani ya Yanga tayari mkataba wake unaelekea ukingoni ambapo baada ya msimu huu utakuwa umemalizika.

Kama akiondoka Yanga, Mwinyi atakuwa ameondoka kama mchezaji huru tayari kuwatumikia matajiri hao wa jiji la Dar



1 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic