May 22, 2019


Taarifa kutoka majuu zinasema mlinda mlango wa klabu ya Manchester United David de Gea ameiambia klabu hiyo kuwa hatosaini mkataba mpya.

Mkataba wa De Gea katika klabu ya Man United unaisha mwaka 2020.

De Gea anatajwa kuwa atajiunga na PSG kama mchezaji huru baada ya mkataba wake kuisha June 2020.

Mbali na PSG klabu zingine mbalimbali zimekuwa zikitaka saini yake ikiwemo Real Madrid ya Spain

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic