May 10, 2019


Chelsea imetinga final ya Europa League na sasa itacheza dhidi ya Arsenal.

Wakali hao kutoka darajani, wameshinda kwa mikwaju 4-3 ya penalti baada ya sare ya pili ya bao 1-1 dhidi ya Frankfurt.

Kipa Kepa wa Chelsea alipangua mikwaju miwili na kuwapoteza Wajerumani hao. Huku Eden Hazard akifunga penalti ya mwisho.


Dakika 90 ziliisha kwa sare ya 1-1 ikiwa ni sare ya 1-1 kwa mara ya pili baada ya mechi ya jijini Frankfurt, Ujerumani kwisha namna hiyo.







0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic