May 22, 2019


BAADA ya mabosi wa timu ya TP Mazembe kuandika barua kwa uongozi wa Yanga wakihitaji kupata saini ya nyota wa kikosi hicho, Ibrahim Ajibu viongozi wa Yanga wamesema kuwa suala hilo limetua mezani kwao hivyo linajadiliwa kwa umakini.

Mazembe ambao wanashiriki Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kutwaa ubingwa,wanahitaji saini ya nyota huyo ili kuongeza nguvu kwenye kikosi chao msimu ujao.

Akizungumza na Salehe Jembe, Makamu Mwenyekiti wa Yanga Fredirick Mwakalebela amesema kuwa suala la mchezaji kupata timu nje ya nchi ni la kufurahia kwani kila mchezaji ana malengo yake.

"Suala la Ajibu tumelipata na tumefurahi kuona kwamba amepata kuonekana na wengi wanamfuatilia hivyo tunaijadili kisha tutatoa maamuzi," amesema Mwakalebela. 

10 COMMENTS:

  1. Mnajadilije mtu na uku anaondoka akiwa huru? nyie mumuandikie barua asepe zake akatafute maisha mapya

    ReplyDelete
    Replies
    1. Yanga wanazingua wanamdanganyishia Ajib kwamba anaitajika Mazembe ili asign alafu achine Jangwani...Yanga wanauhuni wakilongtime sana wameforge barua kwamba Ajibu anatakiwa Mazembe nadhani mnakumbuka walishawahi kuchonga barua yao flani wakisema Manji anarudi wakajikuta wanapiga chaka kwenye tarehe..SIJUHI MNANIELEWA LAKINI...wenye brain wamenisoma, yanga wanataka huduma ya Ajibu sema hawana point za kumshawishi na ndo maana wamekuja na gear ya anaitajika Mazembe...Ajibu nenda zako Simba ukapate mashavu ya kwenda mbali zaidi ya Mazembe sasa hivi Simba wapo na channel za Spain...huitaji akili kubwa kukushawishi kwenda Simba wemwenyewe unaona wanaume wanacheza leo na Spain sasa KUMBE NINI??AJIBU ZIONGEZEEEEEE

      Delete
  2. Wiki inayokuja keshamalizana na Yanga na wala hawahusiyani nae hata kidogo lakini huenda kutokana na wiki moja iliyobakia wanatamaa iwe kama wamemuuza na Kwa upande wapili ni jaribio la kumzuwia kurejea Simba lakini kila wskifanya hivo ndipo wanapozidi kuanguka na wengine kuikimbia Yanga na si yupo mmoja ameshskubaliana na Azam na wengi watafusta

    ReplyDelete
  3. Tp Mazembe ni wastaarabu sana!


    Aende Tp Mazembe,wana akili sana hawa jamaa!

    Nilikuwa naumia kumwona akicheza bongo nikahofia sola lake lisije likashuka akiwa bado Tanzania!


    Dah,tumekuwa na kikosi dhaifu lakini dili kubwa!

    Bado Feitoto mwakani!

    ReplyDelete
  4. Yanga iwe funzo kwa kuwapa mikataba ya mda mfupi na usio na vigezo vya mauzo ya mchezaji maana wachezaji wenye kipaji cku zote wanakuwa na mikataba minono na kunakuwa na kipengele cha dau kama timu ikimuhitaji.

    ReplyDelete
  5. Mchezaji kama feisal toto. Gustapha na paul Godfrey. Hawapaswi kuwa na mkataba wa miaka miwili bt tunategemea wawe na mkataba wa miaka minne au mitano na dau la kumuuza endapo timu ikimuhitaji

    ReplyDelete
  6. Mchezaji kama feisal toto. Gustapha na paul Godfrey. Hawapaswi kuwa na mkataba wa miaka miwili bt tunategemea wawe na mkataba wa miaka minne au mitano na dau la kumuuza endapo timu ikimuhitaji

    ReplyDelete
  7. Mchezaji kama feisal toto. Gustapha na paul Godfrey. Hawapaswi kuwa na mkataba wa miaka miwili bt tunategemea wawe na mkataba wa miaka minne au mitano na dau la kumuuza endapo timu ikimuhitaji

    ReplyDelete
  8. Mchezaji kama feisal toto. Gustapha na paul Godfrey. Hawapaswi kuwa na mkataba wa miaka miwili bt tunategemea wawe na mkataba wa miaka minne au mitano na dau la kumuuza endapo timu ikimuhitaji

    ReplyDelete
  9. Yanga iwe funzo kwa kuwapa mikataba ya mda mfupi na usio na vigezo vya mauzo ya mchezaji maana wachezaji wenye kipaji cku zote wanakuwa na mikataba minono na kunakuwa na kipengele cha dau kama timu ikimuhitaji.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic