May 22, 2019

2 COMMENTS:

  1. Hongereni Simba kwa kweli mmepambana kuhakikisha mnatetea ubingwa wenu. Kuanziawapenzi,wanachama,
    Viongozi,benchi la ufundi mpaka kwa Wachezaji Simba waliungana kuwa kitu kimoja kwa kweli hongereni sana.Umoja waliouonesha Simba kwakweli iwe funzo kwa taasisi nyengine nchini ili kufikia malengo. Mohamedi Mo licha ya sapoti yake ya finacial kwa Simba lakini kikubwa kuliko yote anayostahiki kutazamwa Mo pale simba ni uwezo wake katika masuala ya uongozi pale panapohitajika uongozi kuonesha uwezo wake wa kiuongozi katika wakati mgumu.khaji Manara ni msemaji wa Simba lakini Mohamedi Mo ndio sauti ya Simba na ikiunguruma basi ujue kuna jambo. Wachezaji wa Simba wamepambana kiume hakuna ubishi na wanastahiki walichovuna. Ila ukiangalia kwa umakini match moja tu ya Singida dhidi ya Simba basi utaona marekebisho kwenye fowadi line ya Simba ni lazima kwani Simba si wa kutoka uwanjani kwenye mechi ile wakiwa wamefunga goli mbili tu peke yake. Walitakiwa kufunga mabao mengi zaidi kutokana na nafasi za wazi walizokuwa wakishindwa kuzitumi fowadi ya Simba. Simba kumfunga goli mbili singida timu ambao ina ukata na matatizo kadhaa wa kadhaa inazihirisha yakwamba Simba bado ni timu ya kawaida mno na kwakuwa wataiwakilisha nchi tena mwakani kimataifa basi Simba wawe makini katika maboresho ya kweli ya timu ili ije kuvuka ile hatua walioiacha mwaka huu klabu bingwa Africa.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic