Huyu Kocha ndio maana anatakiwa asimamiwe na asiwafanye Yanga wote ni wajinga haiwezekani atamke kuwa eti atasajili wachezaji 8 tu....hata asiye na akili na soka anaelewa kuwa Yanga imekuwa dhaifu mno na zaidi ya 3/4 ya wachezaji waliopo kikosini hawafai hata kuendelea kubaki Yanga....sasa atakujaje na kusema atasajili wachezaji 8 tu? Ndio maana wanayanga wanahamasishwa kuchangia na kukusanya fedha ili waunde timu imara na kusajili wachezaji bora wa kutosha waondokane na hali iliyopo...tatizo halitakuwa pesa tena kwani watakuwa na fedha ya kutosha kusajili na kulipa mishahara....asiwafanye wanayanga warudi kule walipotoka kwa kuwa na kikosi dhaifu chenye wachezaji wa nje na ndani ya nchi ambao wengi wao ni magarasa wa kiwango cha chini ambao hata wakicheza na Lipuli, Ndanda, Singida United wanafikiria "kupaki basi". Yanga wanataka wachezaji wa kiwango cha juu mno wakushindana na kutoa upinzani wa hali ya buy kwa timu kama Simba, TP Mazembe, Al Ahly nk...hata kama hawata shiriki mashindano ya CAF lakini wataisaidia kuchukua ubingwa wa ligi hayo ndio matamanio na mahitaji yao wapenzi na wakereketwa wa Yanga
Mkuu huyu Salehe anakupotosha tu haya anaandika ili auze gazeti zake Suala la usajili subiri ligi iishe uone Kaka Sasa Hivi tuna game 3 mbele yetu hatuwezi ongea lolote litaua morali ya wachezaji.
Huyu Kocha ndio maana anatakiwa asimamiwe na asiwafanye Yanga wote ni wajinga haiwezekani atamke kuwa eti atasajili wachezaji 8 tu....hata asiye na akili na soka anaelewa kuwa Yanga imekuwa dhaifu mno na zaidi ya 3/4 ya wachezaji waliopo kikosini hawafai hata kuendelea kubaki Yanga....sasa atakujaje na kusema atasajili wachezaji 8 tu? Ndio maana wanayanga wanahamasishwa kuchangia na kukusanya fedha ili waunde timu imara na kusajili wachezaji bora wa kutosha waondokane na hali iliyopo...tatizo halitakuwa pesa tena kwani watakuwa na fedha ya kutosha kusajili na kulipa mishahara....asiwafanye wanayanga warudi kule walipotoka kwa kuwa na kikosi dhaifu chenye wachezaji wa nje na ndani ya nchi ambao wengi wao ni magarasa wa kiwango cha chini ambao hata wakicheza na Lipuli, Ndanda, Singida United wanafikiria "kupaki basi". Yanga wanataka wachezaji wa kiwango cha juu mno wakushindana na kutoa upinzani wa hali ya buy kwa timu kama Simba, TP Mazembe, Al Ahly nk...hata kama hawata shiriki mashindano ya CAF lakini wataisaidia kuchukua ubingwa wa ligi hayo ndio matamanio na mahitaji yao wapenzi na wakereketwa wa Yanga
ReplyDeleteMkuu huyu Salehe anakupotosha tu haya anaandika ili auze gazeti zake Suala la usajili subiri ligi iishe uone Kaka Sasa Hivi tuna game 3 mbele yetu hatuwezi ongea lolote litaua morali ya wachezaji.
Delete