IMEELEZWA kuwa , Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera hana mpango wa kusajili wachezaji kwa gharama kubwa msimu ujao na badala yake amepania kupunguza dau kuwa chini ya milioni 50 kwa wachezaji wa ndani.
Habari za ndani zinasema kwamba, wachezaji wote wa Yanga ambao hawajacheza nusu msimu kwenye mechi za ligi safari inanukia kwani panga linawahusu.
Kwa mujibu wa takwimu za Yanga inaonyesha kwamba wachezaji hao walio kwenye mstari mwekundu wa kusepa Yanga msimu ujao ni pamoja na Baruhan Akilimali, Athony Matheo, Juma Mahadhi, Thaban Kamusoko, Amissi Tambwe, Haji Mwinyi, Said Makapu, Deus Kaseke na Ibrahim Hamid kipa ambaye alisajiliwa msimu huu dirisha dogo na Beno Kakolanya ambaye tayari ameshaachana na Yanga.

mmoja ajiengua nan huyo?
ReplyDeleteHuyu kocha anatakiwa asimamiwe asiachiwe yeye...kusajili wachezaji kwani asije akaleta magharasa lazima alete wachezaji wa hali ya juu...wachezaji wa ndani hao pia wawe wa hali ya juu pia!
ReplyDelete