Kwa mujibu wa takwimu kutoka Bodi ya Ligi kabla ya michezo GD ya Stand United ilikuwa -9 na GD ya Kagera Sugar ilikuwa -11 matokeo ya Leo
FT' JKT Tanzania 2-0 Stand United
FT' Mbao FC 1-1 Kagera Sugar
Maana yake Stand United imebaki na pointi zake 44 na GD ya -11 na Kagera Sugar imekuwa na Pointi 44 na GD ya -11
Kwa maana hiyo GD zinafanana wote -11 kinachofuata ni Head to Head mechi ya kwanza ya Stand na Kagera ilifanyika Shinyanga na Matokeo yalikuwa 1-1 na mechi ya pili ilifanyika Kagera matokeo Stand ilishinda kwa magoli 3-1
Maana yake Stand anakuwa na Faida kwenye Head to Head. Na kwa mjibu wa takwimu hizo African Lyon na Kagera Sugar wameshuka moja kwa moja na Stand United na Mwadui FC zinacheza Play Off.
Kagera sugar? Kukamia Simba basi wanashuka daraja. Sidhani kama Maxim anaitendea haki taaluma ya ukocha.
ReplyDeleteMhh hii kali this is TFF
ReplyDeleteNdio sahihi wala sio kali
ReplyDeleteTaaluma ya ukocha wa maxim ni kuifunga Simba tu na ndio target yake.Na ndio imemugharim
ReplyDeleteKwani kuifunga simba ni dhambi?,inanidi nyie Simba ndo mjiulize why team inashuk daraja na imetufunga Mara mbili,mi niliona ni afadhar kagera angebaki ligi kuu kwa kuwa kamfunga bingwa Mara mbili
ReplyDeleteTaaluma ya Maxim ni kuifunga Simba tuu.Hawezi kucheza na timu yeyote vizuri ila anapokutana na Simba.Sasa imemugharibu.Mwache aende kula kahuruzo
DeletePole Kagera,lakuvunda halina ubani.
ReplyDeleteSafi Sana Kagera Mkajipange Huko Hamna Adabu Kabisa Walizani Kufunga Simba Ndo Kubaki Ligi Kuu Wamekoma!!
ReplyDeleteWakajipange
ReplyDeleteKagera walidhani ligi ni kumfunga Simba koca wao alikuwa kijitapa lakini kama ana uwezo wa kuifunga Simba kwanini asizifunge timu nyingine
ReplyDelete