May 23, 2019

6 COMMENTS:

  1. Hivi Zahera timu ya Yanga imecheza na Mbeya City unawazungumzia Simba umelogwa na nani wewe?

    Protas-Iringa

    ReplyDelete
  2. Zahera na Yanga yake wafanye watakavyo fanya kuibania Simba ni kazi bure.Si shangai sasa kuona kwa nini wakongo wamekuwa wakichinjana kipumbavu bila ya sababu za msingi.Kwa akili zake Zahera kwakuwa timu yake ya Yanga haikuchukua ubingwa basi aliechukua sie bingwa? Nitashangaa sana kama TFF kama watashindwa kumchukulia Zahera hatua za kinizamu kwa kauli zake za chuki kwenye mchezo wa mpira. Kiongozi gani wa Simba mwenye pesa aliemwambia kuwa Simba haikustahili kuwa bingwa? Kama si unafiki kitu gani?

    ReplyDelete
  3. Kutokana na Roho yake Mbaya iliyoambatana na husuda dhidi ya Simba kwakila uhakika hatofanikiwa kuipa ubingwa Yanga take mpaka pale atapoondoka kwasababu Mungu hayupo pamoja na mafisadi

    ReplyDelete
  4. Huyo ndio Zahewa anajisikia ufahari kuizungumzia simba mwache abwabwanye.

    ReplyDelete
  5. hata sungura aliposhindwa kufia ndizi alisema sizitaki mbich hizi mwazo alizihangaikia akashindwa kuzipata

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic