May 23, 2019

2 COMMENTS:

  1. Makambo mwenyewe anathibitisha hapa kwamba yeye na Horoya wameshamalizana kila kitu. Halafu utasikia sijui wagonjwa wa akili au sijui nini wakikanusha kuwa makambo bado mchezaji wa Yanga? Wengine sijui Makambo kapata timu ulaya? Ushuzi mtupu. Makambo aende ulaya au arudi kwao Congo au Ajibu abaki Yanga au aende Congo kamwe hakutaisumbua simba watakao teseka ni wao wenyewe Yanga. Wakati Simba wakijiuliza wapi patamu zaidi kwa kuweka kambi yao ya maandalizi ya msimu mpya mwakani kati ya Marekani na Ureno. Yanga wao wamebaki wakiendeleza majungu.

    ReplyDelete
  2. Sasa inadhihirisha kuwa Zahera ana biashara ya kununuwa na kuuza wachezaji na akibaini mchezaji ni nyota mara humtafuta WA kumuuzia. Maslaha mbele na suala vipi Yanga yetu itaendelea ni kama kujaza maji katika pipa bovu lenye tundu

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic