Huyu kocha Hana maadili kabisa kwa taaluma yake hata Kama maamuzi kakosea huwezi kusema anavuta bangi maana Hana uthibitisho,anaongea Sana kupita kiasi huwa waamuzi wanakosea lakini sio kulalamikia Kila kitu,yanga wanatimu mbovu msimu huu Hilo lazima wakubali wamekuwa wakishinda kwa bahati bahati.Huyu Zahewa anatakiwa kuchunga mdomo wake ameshaanza kuharibu makocha Wa timu nyingine.Akiachiwa ataharibu ligi domo kaya.
Huyu kocha anatakiwa asimamiwe asiachiwe yeye...kusajili wachezaji kwani asije akaleta magharasa lazima alete wachezaji wa hali ya juu...wachezaji wa ndani hao pia wawe wa hali ya juu pia!
Yeye Zuwera ndio mvuta bangi wa kwanza Tanzania!
ReplyDeleteHuyu kocha Hana maadili kabisa kwa taaluma yake hata Kama maamuzi kakosea huwezi kusema anavuta bangi maana Hana uthibitisho,anaongea Sana kupita kiasi huwa waamuzi wanakosea lakini sio kulalamikia Kila kitu,yanga wanatimu mbovu msimu huu Hilo lazima wakubali wamekuwa wakishinda kwa bahati bahati.Huyu Zahewa anatakiwa kuchunga mdomo wake ameshaanza kuharibu makocha Wa timu nyingine.Akiachiwa ataharibu ligi domo kaya.
ReplyDeleteHuyu kocha anatakiwa asimamiwe asiachiwe yeye...kusajili wachezaji kwani asije akaleta magharasa lazima alete wachezaji wa hali ya juu...wachezaji wa ndani hao pia wawe wa hali ya juu pia!
ReplyDelete