BREAKING: BEKI MWILI JUMBA AMLIZANA NA SIMBA LEO MIAKA MIWILI MCHEZAJI wa Singida United, Keneddy Juma ''mwili jumba' leo ametangazwa kujiunga na kikosi cha Simba kwa kandarasi ya miaka miwili. Juma anakuwa mchezaji wa pili kwa Simba kupewa mkataba mpya baada ya mlinda mlango Beno Kakolanya kusaini kandarasi ya miaka miwili ndani ya Simba.
safi sana tunataka vitu kama hivyo
ReplyDeleteEnter your comment...wazr
ReplyDeletesawasawa
ReplyDeleteMwili Jumba timu chupu chupu kushuka daraja
ReplyDeleteAnasajiliwa kucheza mieleka au?
ReplyDeleteWacheni kukuza mambo nyie..eti mwili jumba, hako kamwili jumba au kanyumba. Wanaume Yanga washamaliza kazi ya usajili, makapi yaliyobaki bebeni.
ReplyDeleteMwili 💪🤔
ReplyDelete