June 18, 2019

UONGOZI wa Yanga umesema kuwa kwa sasa hauna hesabu za kusajili wachezaji wengine wa kigeni baada ya kukamilisha asilimia 90 za wachezaji waliokuwa wanahitajika na Kocha Mkuu, Mwinyi Zahera.

Mwenyekiti wa Yanga, Dk.Msindo Msolla amesema kuwa kwa sasa hawana mpango wa kugombea wachezaji wa kigeni.

"Tumekamilisha zoezi la usajili kwa wachezaji wa kigeni ambao walikuwa ni pendekezo la Kocha Mwinyi Zahera, hivyo kwa sasa hatuna hesabu za kuongeza wachezaji wa kigeni kwani zoezi limekamilika kilichobaki kwa sasa ni kuwatambulisha," amesema.

3 COMMENTS:

  1. Moto umekata eeh,tulien mnyama aingie mawindoni sasa

    ReplyDelete
  2. This is Simbaaa...kimya kimya ..

    ReplyDelete
  3. Tanzania hakna kimyakimya mbna wengine mnatambulisha iweje kimyakimya kwa wengine

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic