June 19, 2019

13 COMMENTS:

  1. Adui akifurahia unalolifanya basi ujue unaharibikiwa na kama kuna uwezekano basi achana na unachokifanya nenda kwenye plan B. Na ukiona adui ana ponda kile unachokifanya basi ujue umepatia na ikiwezekana ekeza na endelea zaidi kufanya unachokifanya. Kwanza niwapongeze Simba kwa usajili wa Kennedy ni bonge la usajili na inaonesha jinsi gani Simba sasa walivyo makini kunako usajili kwani kama kuna kitu Simba ambacho wanaweza kujifunza kutoka klabu bingwa Africa basi ni kuwa na wachezaji waliojengeka vizuri kimwili. Kwa ushauri wa kitaalam zaidi binafsi kama Simba halisi kabla hata sijazaliwa ningeuomba uongozi wangu wa Simba kufanya usalijili wa wachezaji wa ndani wa aina hii,wazingatie vimo na maumbile ya wachezaji wenye ukubwa wa asili na masuala ya kuwajenga ili kuwa fiti zaidi iwe chini ya program maalum ya timu chini ya wataalam wetu wa timu na kutoa ushauri nasaha kwa mchezaji mwenyewe binafsi jinsi ya kuzingatia utimamu uliokamilika wa mwili. Huyu msemaji wa Yanga asilete madharau kwa wazawa ni upumbavu na mpumbavu kabisa. Bila ya wazawa samata angetokea wapi? Banda angetokea wapi? Kessy angetokea wapi,Manula angetokea wapi? Yanga wanajiita timu ya wananchi lakini kiuhalisia ni timu ya wageni, hovyo kabisa.

    ReplyDelete
  2. Huyu tens ajitambui kwani unatakiwa usajili wachezaji wa inje pekee pia inashindwa kuelewa kuwa kushindana timu ktk usajili una sehemu mbili ya kwanza kipindipo wanapo witaji mchezaji wako uwe na uwezo kuwabakisha

    ReplyDelete
  3. Sasa Mr Ten anakebehi kwakuwa ndio jambo alijualo na kabla ya kujuwa Hali itavokuwa Kwa timu yake na kama itamudu matumizi ya hao nyota wote kwakutegemea hela ya halambe bila ya kikomo. Uwezo mkubwa WA Mnyama ambao unauwelea vizuri si ndio ulioushika mkono timu yake kwa kwakuiwezeshsa kushiriki uchampioni wa Africa na ni juu ya muungwana kumshukuru Mnyama badala ya kukebehi.

    ReplyDelete
  4. acha ujinga wewe uo niusajili wandani

    ReplyDelete
  5. Huyu nae chizi, anafikiri timu nzima itasajili wageni, mwisho wa usajili wa wageni ni wachezaji kumi tu, bado unatakiwa na uwe na kikosi kipana kwa ajili ya Ligi, FA, Mapinduzi, Sportpesa na klabu bingwa..

    ReplyDelete
  6. Washikaji povu la mini!? Hivi ukiambiwa ulete mchezaji aliyejengeka unamleta huyu!? Acheni utani jamani!!

    ReplyDelete
  7. Kumbe ukweli hamuujui.Huyu mchezaji alikuwa kwenye rada ya Mwigulu Mchemba na alitoa ahadi kwenye harambee yao kuwa mchango wake atamsainisha mchezaji mzawa na mchezaji mwenyewe ni Kennedy Wilson.Isitoshe huyu mchezaji amekuwepo kwenye rada za makocha karibu wote wa kigeni.Hans Pluijum alimchomoa haraka toka Mbeya City kujiunga na Singida United kabla ya yeye na Raphael Paulo kusajiliwa Yanga kwa mapendekezo ya George Lwandimina.Hans Plujim alishindwa kwenda naye Azam sababu pale kulikuwa na Centre backs wengi wazuri na wenye miktaba.Lenchatre wa Simba alishamuweka kwenye Rada zake na pengine kocha Patrick Aussems kwa kusoma report ya kocha mwenzake aliyepita basi naye nina uhakika amemfuatilia na kuona kuwa ni dhahabu ambayo inahitajika kuwa polished.
    Mara nyingi mashabiki wanapenda wachezaji wa kucheza na majukwaa lkn technically hawafikirii.Fuatilia kwenye You tube clips ambazo Simba ilivoonyesha udhaifu wa Central defenders kwenye kucheza mipira ya cross na corners na hatimaye tukapigwa goli tano tano na ukweli makosa mengi ktk mechi hizi centre backs hakuwa makini au technically defending walikuwa wabovu na ni vizuri tukafanya marejesho kwenye clips ili tujuwe karibu makocha wote wa kigeni wamekuwa wanavutiwa na beki huyu ambaye anacheza wakati mwingine kama tackling midfielder kama alivyokuwa anachezeshwa na kocha Popadic.Kwa wale ambao wamefuatilia soka la Tanzania tokea miaka ya mwanzoni 1970 basi jikumbusheni Yanga alivyokuwa na ukuta wa miamba hii ya Hassani Gobbosi na pacha mwenzake Omari Kapera na beki ya kulia Athumani Kilambo na beki ya kushoto Boi Wickens na tackling midfielder Gilbert Mahinya"Machine'wakiwa chini ya kocha mromania Victor Stanscleus.Sioni sababu hasa ya Simba kusajili kwa mihemko au kwa matakwa ya mashabiki.Tusubiri wakati utafika na tutaoa hukumu.Hoja inakaribishwa lkn sio matusi.

    ReplyDelete
  8. Ama kweli Nyani haoni kundule!Anajifanya amesahau kuwa Lamine, Balinyi na Sadney ni matapishi ya Simba!Tena juzi juzi tu na Balinyi wiki iliyopita!

    ReplyDelete
  9. Haki ya Mungu huyu ten hata siku moja sijawahi kumsikia anatamka la maana maneno take siku zote ni yasiyuokuwa na kichwa wala miguu yote ya kukera badala ya kufurahisha

    ReplyDelete
  10. Simba tuna tatizo la centre back kwa hiyo keened Juma anafaa sana...Huyu mropokaji wa yanga kasahau kuwa tutashindana na tp mazembe,al ahly na as vita kwa wachezaji wa kimataifa tu...bogas!

    ReplyDelete
  11. Simba tuna tatizo la centre back kwa hiyo keened Juma anafaa sana...Huyu mropokaji wa yanga kasahau kuwa tutashindana na tp mazembe,al ahly na as vita kwa wachezaji wa kimataifa tu...bogas!

    ReplyDelete
  12. hongera yanga kwa kumpa mkataba mshambuliaji wao hatari aliyekuwa anacheza KMC kwa mkopo
    #ALLY ALLY WAKUJIFUNGA

    ReplyDelete
  13. kweli maana amewapa pnt sita kwenye ligi, halafu hyo kumi anasumbuka tu hana jipya na timu yake ya bakuli yaani churaa tu

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic