June 16, 2019


UONGOZI wa Simba umesema kuwa kwa mipango na mikakati ambayo wameipanga mwakani wana imani ya kufanya maajabu kwenye kila mashindano ambayo watashiriki.

Mtendaji Mkuu wa Simba, Cresentus Magori amesema kuwa wana imani na kile wanachokifanya hivyo hawatabahatisha.

"Kwa usajili ambao tunaufanya, mwaka huu ukichanganya na maandalizi, nafikiria mwakani Simba tutachukua makombe yote muhimu ikiwa ni pamoja na ubingwa wa Ligi ya Wanawake, kupitia kwa Simba Queens, kombe kwa Simba U20 na timu ya wanaume," amesema.

3 COMMENTS:

  1. Onyesha majembe wenzako wanasajili WW unabakia kubakiza WA ndani Na kutamba,Kama umesajili mashine unaficha nn?tumewaleta wachezaji kucheza mashindano ya sport pesa wakaishia yanga,huu upunguani

    ReplyDelete
  2. Huwezi ukakimbilia kufanya usajili wachezaji wa nnje ya club kabla ya kuongeza mikataba na wachezaji walio maliza mikataba na unao wahitaji ktk club

    kinacho fanyika ktk club simba sc mabingwa wa nnchi ndio mfumo sahihi wa maisha ya mpira.

    Naupongeza sana utawala wa simba chini mwenyekit wa board ya kurugenzi ya simba sc bilionea kijana Mo kwa kuonyesha utawala bora na uadilifu ktk matumizi ya budjet ya usajili sababu tuna 3blns za usajili

    Hatuna pupa ya kuonheza majembe ktk usajili wakati ukifika atasajiliwa mchezaji husika na sahihi kwa mahitaji ya club.

    Haiwezekan kushindana kisa mtani wazee wa bakuli omba omba fc wanajisalia kama wana unda team mpya inasajili sajili tu kwa kuwakopa wachezaji maana wachezaj wote wame kopwa na wazaman wana dai mishahara ya miezi minne haiwezekan usajili wachezaji 10 wote ada ya usajili siri.

    Saleh jembe hili naomba ulifuatilie tujue dau la kila mchezaji aliye sajiliwa yanga na mshahara wake kama mnavyo fanya simba sc kutubainishia Dau la usajili na Mshahara wa mchezaji.

    ReplyDelete
  3. Nami nakuunga mkono mwana msimbazi

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic