June 16, 2019



Anthony Mavunde, Mwenyekiti wa Kamati ya Hamasa na Uchangiaji Yanga  amesema wamependekeza kwa uongozi kuanzisha wiki maalum itakayoitwa ‘Wiki ya Mwananchi’, maalum kwa ajili ya wapenzi na wanachama wa Yanga kuitumikia jamii.

Amesema wiki hiyo itakuwa ikifanyika mwezi Agosti kila mwaka na siku ya kilele chake kutafanyika tukio kubwa litakalofanyika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam likiambatana na utambulisho wa wachezaji wao wapya.

“Tumepanga tuwe na 'Wiki ya Mwananchi’, ambapo wanachama wa Yanga watafanya usafi hospitali, kwenye masoko na kutoa misaada mbalimbali. Wiki hiyo ikikamilika tutakutana Uwanja wa Taifa” amesema.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic