IMEELEZWA kuwa sababu kubwa ya kocha Ettiene Ndayiragije kuwatema wachezaji nane wa kikosi hicho ni pamoja na kutoridhishwa na uwezo wa wachezaji hao pamoja na nidhamu.
Azam FC leo wanaingia kambini rasmi kwa ajili ya maandalizi ya michuano ya Kagame inayotarajiwa kuanza mwezi Julai nchini Kagame wakiwa ni mabigwa watetezi.
Wachezaji hao ni pamoja na Obrey Chirwa ambaye tangu mwanzo aligoma kuongeza mkataba hali iliyofanya aachwe kwa kigezo cha nidhamu moja kwa moja huku Tafadzwa Kutinyu yeye akiwa amepata mkataba wa kukipiga Horoya FC.
Ramadhan Singano, Steven Kigue, Hassan Mwasapili, Daniel Lyanga, Joseph Kimwaga, Enock Atta hawa wote mikataba yao imemalizika na kocha hakukubali kuwaongezea mkataba.
Amtu aliyegoma kuongeza mkataba inakuwaje tena useme kaachwa!? Ye ndo kaiacha club sio club imemuacha yeye!!
ReplyDeletekwanikugoma kuongeza mkataba ni nidhamu mbovu e jamani sasa hii nidhamu ni hatari mpaka mikataba?
ReplyDeleteChirwa Watamkumbuka Kamwa Hadi Aondoke Kiprtcheche Hawajapata Wakufti Kusumbua Beki Za Timu Pinzani Chirwa Ndo Alianza Kurudisha Imani Ila Kwa Xaxa Azam Itakuwa Fuata Migongo Ya Simba Na Yanga.
ReplyDeleteAzama ni kama Arsenal tu... Hawapo kwa ajili ya soka la ushindani.
ReplyDeleteWao wapo kibiashara zaidi.. Waibue. Wauze. Wanunue. Wauze
Chirwa ana malengo marefu sana na anataman acheze Yanga au Simba ambayo wachezaji wake wanaonekana Sana na clabu kubwa. Tumuombee tu aendeleze kipaji chake kwn mchango wake ni mkubwa kwenye soka letu
ReplyDeleteSimba ebu tubebe huyu mtu atatusaidia na mzoefu na mazingira ya Tz
ReplyDeleteJamaa muongo wewe hata sijui taarifa zako unaziokota wapi!! Leo unasema mtu ameachwa sababu ya nidhamu, kesho anasaini mkataba mpya. Acha udaku, ndo maana gazeti lenu linakosa wasomaji.
ReplyDelete