RYAN Moon amezaliwa September 15, 1996 Pietermartzburg-KwaZulu-Natal nchini Afrika Kusini.
Kwenye maisha ya soka yeye anacheza nafasi ya ushambuliaji na anapenda kuvaa jezi namba 7, amecheza jumla ya mechi 25 kwa mwaka 2016-17 akiwa na timu mbili tofauti ambazo ni pamoja na Martzburg United ambapo alicheza jumla ya mechi mbili na zote hizo hakufunga bao.
Pia kwenye klabu yake ya Kaizer Chief amecheza jumla ya mechi 25 na amefunga jumla ya mabao matano.
Kwenye timu ya Taifa ya Afrika Kusini amecheza jumla ya mechi 8 tangu mwaka 2017 na amefunga bao 1, imeelezwa kuwa yupo kwenye mazungumzo na klabu ya Simba.








Hapana mutu apo
ReplyDeleteSioni wachezaji wa kutoka South Africa kama wana vipaji ni wa kawaida.
ReplyDeleteWafanye tathimini wenyewe watakaoisoma namba. Kama VP wabatishe!
ReplyDeleteIkiwa habari hii ni sahihi, inaonesha mchezaji huyo hana sifa za kuichezea club yenye sifa na kuheshimika kama simba,
ReplyDeleteKwa kweli Simba msimu huu siwaelewi, Nachojiuliza mda wote huo hawakukaa na kutathmini majina ya wachezaji yanayofaa kuongezwa msimu huu. Ikiwa ni kusubiria hatma ya wachezaji waliomaliza mikataba kujua hatma yao kwanza k.m Okwi n.k sio tatizo sana, ila wahusika wa usajili wanapaswa kujua:- (i) Kila jambo LA msingi kwa maendeleo yoyote (MF usajili wa wachezaji kwa timu)ni vema kuwa na options - plan A, B na hata C. (ii) Mara nyingi wachezaji wazuri na wenye uzoefu wanawaniwa kwa nguvu na vilabu vingine, Africa na kuzunguka nje ya bara hili Luna timu nyingi sana na zinawahitaji wachezaji kwa.aina hiyi hiyo wanaowahitaji, tena kuna timu zina pesa za kutosha kuzidi. (iii) Siku zote biashara inayolipa ni ya asubuhi na jioni mahesabu, sio biashara ya jioni kutegemea mahesabu mda huo huo, kuna uwezekano mkubwa hesabu ya biashara ya jioni kwenda vibaya.. Hapa usajili muda unaelekea ukingoni, hivyo mbio mbio ya kukimbizana na muda isije pelekea kuambulia magarasa.
ReplyDeletepia kuna changamoto kubwa ya kupata wachezaji wazuri mda wa dirisha dogo, Mara nyingi ni wale waliokosa timu au waliokaa mda mrefu bila kucheza.
Iwapo kazi ya usajili kweli imekamilika 90% na bado tu kuweka hewani majina kwa wachezaji wote wa ndani na kimataifa waliosajiliwa ni jambo jema kwa kuwa itaonyesha jinsi gani umakini ulivyo ktk mgmnt kwa kutovujisha taarifa kiholela hadi wahusika watakapoweka mambo yote hadharani mwisho wa Siku.
Naamini mambo yatakwenda vuzuri pia msimu huu kama msimu uliopita, Ila wahusika wa usajili wakae wakijua mda unazidi kwenda, Mara zote mafanikio makubwa hutokana na mambo kadhaa ikiwemo usajili mzuri wa wachezaji watakaotutoa hatua moja hadi nyingine.
MF. kwa hatua timu ilipofikia (Robo fainali ya champions league) ili kupiga hatua zaidi hatua moja wapo ni kuongeza nguvu ya wachezaji wenye uzoefu - usajili. Ni hakika 100% coach ktk report yake atakuwa akihitaji kuongezwa kwa wachezaji w kigeni walau 3 au hata 4 hivi.
WALKUP SSC - Muda hausubiri unazidi kusonga. Pleaaaase.
Katika suala la usajili mpaka sasa Simba hovyo. Kemejaa ubabaishaji pale. Kiuhalisia Simba ilikuwa inahitaji kama wachezaji wanne wa maana basi. Sasa Yanga wamesaini karibu timu zima mpya tena wengi wao ni wachezaji wa kigeni la kushangaza Simba kula kukicha wamebakia kuitisha press conference zisizokuwa na mshiko.
ReplyDeleteViongozi wetu kwa trend hii nashzuri mbakisheni Okwi na muongezeni Chirwa+Kahata.Scouting mbovu.....pale mslawi+zambia+zimbabwe+ africa magharibiunaweza kupata mchezaji bora kwa hela ya kawaida.Hili ni fundisho tuanze kukuza vipaji kuliko kutegemeA kusajili kila wakati.
ReplyDeleteSinema laendlea epsod ya 5
ReplyDeletengoja tuone mwishowake inakuwaje
ReplyDelete