MABOSI wa Yanga wameweka wazi kuwa watamuongezea mkataba kiungo bora ndani ya Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2020/21 kwa mwezi Oktoba, Tonombe Mukoko anayetajwa kuingia anga za Simba.
Ikiwa watamuongeza mkataba nyota huyo watazima ndoto za watani zao wa jadi kuipata saini ya kiungo huyo ambaye ni miongoni mwa wanaofanya vizuri kwa msimu wa 2020/21 na kuingilia kati dili hilo kibabe.
Mukoko aliibuka ndani ya Yanga kwenye dirisha kubwa akitokea Klabu ya AS Vita ya Congo pamoja na mwenzake Tuisila Kisinda ambao kwa pamoja wamekuwa na pacha matata ndani ya uwanja.
Kwa msimu huu pacha yao imekuwa na moto ambapo kwenye Dar Dabi, Kisinda alisababisha penalti iliyofungwa na Michael Sarpong huku Mukoko akisepa na tuzo ya mchezaji bora wa mchezo huo ikiwa ni dabi yao ya kwanza.
Kutokana na ubora wa Mukoko kuweza kumzima kiungo ghali Bongo, Clatous Chama wa Simba, watani zao wa jadi walikuwa wanatajwa kumuweka kwenye hesabu nyota huyo jambo ambalo limewashtua mabosi wa Yanga.
Kupitia kwa Mkurugenzi wa Uwekezaji wa Kampuni ya GSM, Injinia Hersi Said ambao ni wadhamini wa Klabu ya Yanga na walihusika kwenye usajili wa nyota huyo umeweka wazi kwamba utamuongezea mkataba nyota huyo.
"Mukoko ana mkataba wa miaka miwili yeye na Kisinda lakini muda wowote wanaweza kuongezewa mkataba kwa kuwa kuna kipengele cha kumuongezea mkataba kwenye ule mkataba ambao tuliusaini wakati ule na AS Vita," amesema.
Ukweli hata Kama story zibatungwa Simba mna bore mliambiwa mmesajili vimeo mkabishi Sasa leo eti Mkoko mala Wachezaji watano wa kimataifa waongezwe mnachekesha ,Happ hajaja Saidio na ,,,
ReplyDeleteSio vimeo ndugu ni utaratibu uliotolewa na Caf na sio kwa simba pekee hata timu zingine za nchi nyingine zinalifanyia kazi maana nchi za wenzetu kama unavyojua corona imeshamili kwa hiyo unaweza kujiaminisha kuwa sisi hatuna na maisha ya wachezaji ni kutembeatembea mara paaa wanakutwa wachezaji waatano au watatu, mi nadhani tusiwe na ushabiki saaaana bila uelewa na hii ni kwasababu tunawakilishwa na timu mbili pekee tungekuwa na nne zote zenye nguvu ya fedha usingezumza hayo ya maneno
DeleteAcha umkiazi wewe, Kama imesajili Vimeo Basi Africa yote vimeo,. Sishangai sana ukijaa muda mrefu mchangani akili zinadumaa Kama huyo utopolo.
Deletekuna hatari haapa kati ya kisinda na mukoko kuna mtu alikuja kwa mkopo sasa wanachofanya simba ni kuongea na wamiliki wa mchezaji ndugu zangu hapa kuna sinema inachezwa kuna bomu litalipuka hapa mda wowote haya tusubiri
ReplyDeleteYanga hawakujifunza kwa yaliyotokea kwa morrison, kuna uwezekano mukoko amesajili miezi sita tuu. Fanyeni juhudi aongezewe mkataba, kulalamika hakusaidii
ReplyDeleteSio kweli mkuu, issue ya Morrison imegundulika kiongozi aliyesimamishwa Yanga alihusika kuihujumu timu na kuchakachua mkataba ulioongezwa wa Morrison, na alitaka kufanya hivyo tena kwa said ntibazonkiza. Kiongozi huyo amekuwa akitumika na Simba kutekeleza hujuma hizo, lakini amegundulika na kuwekwa pembeni. Mukoko na Kisinda ni miaka 2 kila mmoja fullstop.
DeleteKw sababu Simba imegundua huyo Senzo wenu hajaja hapo Ynga kuleta maendeleo bali kucheza michezo michafu ya kuihujumu Simba eti na nyie mnajifanya mnahujumiwa na Simba, sisi kesi yetu ya kuhujumiwa ipo polisi na inafanyiwa uchunguzi sasa nyinyi mnaoongopewa kila siku na hao viongozi wenu wa UTO yajayo yanafurahisha
DeleteMikia kwakuvizia mupo ilakisinda na mukoko hamuwawezi mtaishia kuwatamani
ReplyDeleteWaviziaji,nimesema bado Saidio hangaikeni na Hiyo mi babu yenu ipo jalalani okoteni,najua mkicheza na Biashara , Gwambina yatatamba visigino vingi lkn nje ya hapo mtaishia kutuhumu .No scout at all.Mwisho hao watano mtawalipaje au Mo aongeze Tangazo .
ReplyDeleteHuyu saidio Babu ninyi mnasajili vijana hongereni Kama huyo mburundi nikijana mwenye umri wa miaka 32. Utopolo mnalopoka ti bila kuju
Deletekujielewa.
Hata Kama Wana miezi sita ,hata hao Tff wanaogopa mtiti wa Yanga cse la Morrison bado linawaka,bt Mjue Kuna mido mwingine zaidi ya Mukoko aja na si Saidio
ReplyDeleteYani kweli UTopolo ni wa hapa hapa FC yani kucheza na Simba kutoa droo washajiona wana zinga la timu kama Liverpool acheni umwehu Utopolo na mtabaki kushindana soka la hapa hapa bongo kwa sababu wengi wenu ni matahira, eti suala la Morrison bado linwaka yani nyie kila siku mnaongopewa halafu bado mna moyo kweli churaaa fc
DeleteMkoko mkoko ha2 mtak cc huyo
ReplyDeleteHuyu mkoko kwel anamkataba wa miez 6 ndo maan yanga wanahangaika kumuongezea mkataba mwngne
ReplyDeleteViongozi wetu wa Yanga waseme ukweli. Waache ubabaishaji.
ReplyDeleteKiongozi mbabaishaji kashasimamishwa mkuu, amehusika kuchakachua mkataba wa Morrison Yanga na alikuwa kwenye mchakato wa kufanya hivyo tena kwa ntibazonkiza..Tumedhibiti upopoma huo na mikia imegonga mwamba
DeleteHivi issue ya mukoko inatoka wapi wakati Mo alishatoa ufafanuzi mbele ya vyombo vyote vya habari?na champion wakiwepo?
ReplyDeleteUtopolo wanataka kugauza kibao washajua kosa lao alilofanya senzo sasa wanatafuta kuwapoza washabiki wao mbona wakumfukuza wakati ule morrison aliposhinda hi kesi yake. Washaona maji marefu sasa wanatafuta kujishafisha. Tu
ReplyDeleteWhy always Uto?
ReplyDeleteKahangaike na Mzee Mugalu mifupa 40yrs ,Saidio Mzee kweli lkn ndo kapamba kagazeti Simba soka pamoja na Mukoko ,tatizo mikia wengi Madreva wa Bodaboda MO kama hajaaribu kwa nafasi yake angemtuma kauzu Haji anaongea maana ndo Msemaji au Lile la matangazo ndo shiiida?
ReplyDeleteLkn Mimi ningekuwa kwenye Board ya wakurugenzi ningempigia chapuo Mh Aden aingie hili atusaidie kukata Rufaa tupangiwe Vitalo fc maana hii ratiba sivyo tulitarajia
ReplyDeleteNinyi mnaohangaika kuongeza Wachezaji watano huku mnatamba Kikosi kipana ,kumbe michezaji yote Kiwango Cha Biashara na Gwambina na Vitalo ,wenu Wana Mikataba gani au tumuulize Ilanfya maana mlivyo laaniwa Kenge ninyi eti mlevi mlidanganyana na vi Simba B KMC mkapeana Sasa angalia tayari Ni Adam Salamba B .Mimi nadhani Ubingwa wa mipango uliwadanganya mmesajili kikosi kipana Mechi kumi tu za ligi mnaanza Corona mala ndefu fupi tunaomba mfanye Kama CAF walivyowashauri mtakoma mbona Taifa Stars hawajaugua Corona Tena Kambi Uturuki ,si mna Bwalya Kaka ?
ReplyDeleteHivi ww unabisha tu kama umekatwa kichwa CAF wameongeza wachezaji watakaoshiriki mashindano yao kutoka 30 mpaka 40,kumbuka zaidi ya wachezaji kumi wa Raja Casablanca walikutwa na covid 19 mara tu baada ya kucheza mechi ya kwanza ya nusu fainal dhidi ya zamaleki,mechi iliyochezwa Morocco na Raja kufungwa 1-0.Mechi ya marudiano ilisimamishwa na CAF kuepuka kusimamisha mechi ndio wakamua kuongeza wachezaji.Simba wameandika barua TFF kuomba ufafanuzi wa kuongeza wacheZaji.
DeleteKwnn ufafanuzi?sheria ya TFF inataka wachezaji 10 wa kigeni,kwa mujibu wa CAF inataka kuongeza wachezaji 10 haijalishi wakigeni au wandani.
ReplyDeleteCorona ipo dunia yote mkiongeza na sisi wote tunaongeza hata kwenye Ligi
ReplyDeleteSimba kama itasajili wachezaji zaidi ya 10 wakigeni wajue 10 tu ndio wataruhusiwa kucheza ligi hao ziada watacheza mashindano ya CAF tu,issue tukitolewa mapema watakaa bila kucheza.
ReplyDelete