June 18, 2019

NYOTA mpya wa Azam FC, Idd Suleiman 'Nado' amesema kuwa ana kazi kubwa ya kufanya kwa sasa kutokana na kujiunga na moja ya timu kubwa kwa bongo.

Nado jana ametangwaza rasmi kuitumikia Azam FC baada ya kupewa kandarasi ya miaka miwili akitokea Mbeya City.
.
"Ninajua kwa sasa nipo kwenye timu mpya ambayo ni miongoni mwa timu kubwa Tanzania hivyo nitapambana kufanya kweli ndani ya timu kwa kushirikiana na wachezaji wenzangu," amesema Nado.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic