SIMBA YAINGIA MKATABA WA MIAKA MIWILI NA KIFAA KINGINE KIPYA KUTOKA BRAZIL, KIMECHEZA NA NEYMAR
Mchezaji mwingine kutoka Brazil mwenye uwezo mkubwa wa kucheza nafasi ya beki wa kati na kiungo mkabaji, Gerson Fraga Vieira (26) amesaini mkataba wa miaka miwili na Simba SC.
Vieira ambaye amewahi kuwa nahodha wa timu ya Taifa ya wachezaji chini ya miaka 17 ya Brazil iliyokuwa na wachezaji maarufu kama Neymar, Philippe Coutinho, Casemiro na golikipa Alisson.
Feaga pia alicheza timu ya Taifa ya wachezaji chini ya miaka 20 na alicheza klabu kadhaa za Brazil ikiwepo GrĂªmio amejiunga na klabu yetu akitokea ATK FC ya India.
Usajili umefanyika mara baada ya jana wekundu hao wa Msimbazi kumuongezea mkataba mwingine wa miaka miwili beki wake Mohammed Hussein "Tshabalala".








Angalieni lakini msije mkabwa mnaokotaokota tu wachezaji wanaocheza ufukweni tukaja jihutia wenyewe
ReplyDeleteJaja na Cotinho
ReplyDeleteSimba hawabahatishi sio Yanga hii.Yanga wanadanganya wanemsaini mchezaji fulani kumbe kamba tupu.
ReplyDeleteOn 30 July 2018, Gerson returned to India and joined ATK.[14] On 10 November he scored his first goal for ATK from a header in the 82 minute of the match as ATK won against FC Pune City by 1-0.[15]
ReplyDeleteIn 25 June 2019, Gerson signed a two years contract with Tanzanian Giants Simba SC
chuma hichooo je balinya(bakunya) atapita hapo na magoli yake ya kubahatisha kimba huyo
ReplyDeleteBonge la mchezaji huyooooooo
ReplyDelete