August 19, 2020

 


UONGOZI wa Simba umesema kuwa mpango mkubwa kwenye mchezo wao wa kimataifa wa kirafiki kilele cha Simba day ilikuwa kucheza na waarabu wa Misri, timu ya Al Ahly ila imeshindikana kutokana na janga la Virusi vya Corona.

Akizungumza na Waandishi wa Habari, leo Agosti 19, Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara amesema kuwa mipango yao ilikwama kutokana na uwepo wa janga la Corona ambalo limevuruga ratiba nyingi duniani.

"Tulipanga kucheza na Al Ahly lakini changamoto ya janga la Virusi vya Corona imefanya jambo hilo kuwa gumu. Tulijitahidi kwenda mpaka Zambia huko ila nako hali ilikuwa namna hivyohivyo ndio maana tukaenda Burundi.

"Tunaamini Vital'O itatupa changamoto nzuri kwenye mchezo huo maana hata nao pia ilikuwa ngumu kuwapata lakini kutokana na ukubwa wa timu ya Simba basi wamekubali ombi letu na tutacheza nao Uwanja wa Mkapa," amesema.


Mchezo huo unatarajiwa kuanza majira ya saa 10 jioni na milango Uwanja wa Mkapa kutakakochezwa mchezo huo na ule Uwanja wa Uhuru ambapo kutakuwa na 'Big Screen' itafunguliwa majira ya saa mbili asubuhi.

18 COMMENTS:

  1. Hahahaha aiseee hii blog ya kipumbavu sana , ulitwambia anakuja ZANACO Leo hii unatundanganya et Al ahly, kiufupi Al Ahly hawawezi kuchoza ndondo hiyo .

    ReplyDelete
    Replies
    1. Al Ahly bado ligi yke inaendelea pia hao kenge wanajua kabisa anga l misri bado halijafunguka wanataka kujificha kwenye kivuli wkt wanajua kbsa kuna Giza.

      Delete
    2. Kweli we nyani, yani yule kocha wenu hakukosea tie we ndo tumbili yule mdogomdgo manake ata kaubongo kako kanaonekana kadogo unaambiwa Corona imetibua ratiba za ligi nyingi na hiyo mipango ilipangwa hata kabla ya ugonjwa kutokea ngedere wa mwisho

      Delete
  2. Hahahaha aiseee hii blog ya kipumbavu sana , ulitwambia anakuja ZANACO Leo hii unatundanganya et Al ahly, kiufupi Al Ahly hawawezi kuchoza ndondo hiyo .

    ReplyDelete
  3. Waarabu uwape nini ? mchezaji mmoja usajili wake hao Saba ulokuwa nao,siku zote huwa mnaokota Team ilimradi mshinde hacha kusingizia Corona buana

    ReplyDelete
  4. Chezeni na vibonde hao wa Ndayishimiye ambao hawajawahi kufanya mazoezi tangu kuingia kwa Corona Ila wao wanafurahshwa na mwaliko wa kuja kutalii bongo.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Historia inaonyesha Simba ndiyo timu iliyofanikiwa kucheza na kuzifunga timu nyingi kubwa barani Afrika Al Ahly, Zamalek,Ismailia, Mehara el Kubra, Harras el Hodood, As vita, Asec, Enyimba na nyingine nyingi sasa tunashangaa hawa Manyani fc wanapata wapi jeuri ya kuidharau Simba wakati katika timu hizo nilizozitaja hapo juu nyigine hata kukutana nazo tu kwenye michuano ya Afrika hawajawahi hata kukutana nao respect kwa Luc Eymael aliona akili zenu zinafana na yule Mnyama

      Delete
  5. Ata nyinyi wenyewe si ni kitimu cha kuokota tu ndo mana tumewapiga nne alafu ata atuongei sana kama nyinyi mlivyofunga hicho kigoli cha kubatahatisha shwaini

    ReplyDelete
    Replies
    1. tulicheza na wachezaji 12 ,au unabisha?bila hela huwa hamshindi

      Delete
    2. Hamkosi sababu mtabaki kushangilia timu za wenzenu

      Delete
    3. Kwani ni vibaya?,kuliko nyie mabingwa wa maabara

      Delete
    4. Aaah hv ela ilicheza namba ngapi siku hiyo, yani Simba kila awamu mpya anapokuja Rais mpya huwa lazima tumpe zawadi. Nyerere. Simba vs Yanga 6-0,Mwinyi. Simba vs Yanga 4-1, Kikwete Simba vs Yanga 5-0, Magufuli Simba vs Yanga 4-1. kuna maswali

      Delete
    5. Kwenye kadi zao za uanachama Manyani fc zimeandikwa bishana mpaka ufe, kwa hiyo simba hatushangai, nyinyi mnaojiita mabingwa wa kihistoria kwa ubingwa wa kubebwa na kina Ndolanga , Jamali Malinzi ndio mana mkienda kimataifa ni mwendo wa best looser na nyie ndo mmeshiriki mara nyingi , lkn simba aliyeshiriki mara chahche ameweza kufika Fainali mara moja kombe la shirikisho, Nusu fainali klabu bingwa Afrika lakini sishngai hata jina lenu linajieleza Yanga Afilika.

      Delete
    6. Al Ahly Sporting Club 5 simba 0. as vita 5 simba 0.mazembe 4 simba 1 unazikumbuka wewe madera mkiya

      Delete
    7. We chura, Manyani fc,Utopolo mi naikumbuka ile mechi ya Simba 6 Yanga 0, Simba 5 yANGA 0, Simba 4 Yanga 1, Raja Casablanca 6 Yanga 0, yani hamjatosheka na wame zenu simba bado tena mmeenda kuwapapatikia wanaume wingine As vita acheni umalaya. Shabikieni timu yenu msijipendekeze kwa timu za wenzenu nyinyi mshawahi kuifunga timu gani kubwa

      Delete
  6. Utopolo mna roho ngumu! Hata baada ya kipigo cha 4G bado mnachonga! Kaeni kimya!

    ReplyDelete
  7. Timu za Misri kama za Ulaya tu wanakuwa na programme zao za muda mrefu huwezi kuwapata kienyejienyeji tu nyi wasubirini kwenye champions league mle mkono kama kawaida

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic