Licha ya uwezo binafsi wa Mohamedi Hussein Simba ni timu pekee nchini yenye mtaalamu wa kimataifa wa daraja la UEFA wa utimamu wa mwili kwa wachezaji nchini. kwa maana hiyo bila ya kumumunya manemo Simba ndio timu yenye wachezaji waliofiti zaidi nchini. Na sio ufiti tu wa wachezaji bali simba ndio timu pekee nchini iliyodumu kuwa na makocha wenye uwezo wa daraja la juu zaidi katika ligi kwa miaka hii ya karibuni kwani baada ya kuachana na Mfaransa hawakupumzika wakaja kumuajiri mbeligiji kwa maana hiyo wachezaji wa Simba wapo more awareness kufuata maelekezo ya kocha kuliko wachezaji wengine nchini. Na kama hiyo haitoshi Simba ni timu pekee nchini iliyodumu kwa kipindi kirefu kwenye mashindano ya kimataifa nchini kwa hii miaka ya karibuni kwa maana hiyo wachezaji wa Simba ni wachezaji wenye uzoefu wa mechi za kimataifa zaidi kulinganisha na wachezaji wa timu nyengine nchini. Sasa ukiangalia uteuzi wa wachezaji kwa timu yetu ya Taifa unaona kabisa kwamba makocha wameamua kuchagua fimbo kwa ajili ya mapambano na kuacha bunduki.Mungu ibariki Taifa stars.
Unaonekana hujitambui, cha kwanza andika kiswahili tu maana kingereza hukijui unachapia. Pili nikukumbushe tu kuwa simba huu ni mwaka wa pili kuchukua ubingwa, kwahiyo katika miaka mitano ameshiriki michuano ya kimataifa Mara moja tu! Tatu makocha wote waliopita Azam na Yanga wana leseni za UEFA. Kabla hujaongea Fanya utafiti kwanza sio unakurupuka tu. Wachezaji walioipa simba mafanikio ni wa nje, hakuna jinsi wanaweza itwa timu ya taifa. Na wale wachache wa bongo waliofanya vizuri wameitwa ukiondoa mwenye nidhamu mbovu.
Tatizo la Ten hajui anaongea na nani!!! Manara mwenzake anajua kuhamasisha sasa yeye anapambana ameridhika na huo mchango wa Bilioni 1. Hahahahaha!!!!! kweli hujui hujui tuuuuuuuuuu. Kwa Yanga ilipofikia ni aibu siyo kujisifia huko.
Licha ya uwezo binafsi wa Mohamedi Hussein Simba ni timu pekee nchini yenye mtaalamu wa kimataifa wa daraja la UEFA wa utimamu wa mwili kwa wachezaji nchini. kwa maana hiyo bila ya kumumunya manemo Simba ndio timu yenye wachezaji waliofiti zaidi nchini. Na sio ufiti tu wa wachezaji bali simba ndio timu pekee nchini iliyodumu kuwa na makocha wenye uwezo wa daraja la juu zaidi katika ligi kwa miaka hii ya karibuni kwani baada ya kuachana na Mfaransa hawakupumzika wakaja kumuajiri mbeligiji kwa maana hiyo wachezaji wa Simba wapo more awareness kufuata maelekezo ya kocha kuliko wachezaji wengine nchini. Na kama hiyo haitoshi Simba ni timu pekee nchini iliyodumu kwa kipindi kirefu kwenye mashindano ya kimataifa nchini kwa hii miaka ya karibuni kwa maana hiyo wachezaji wa Simba ni wachezaji wenye uzoefu wa mechi za kimataifa zaidi kulinganisha na wachezaji wa timu nyengine nchini. Sasa ukiangalia uteuzi wa wachezaji kwa timu yetu ya Taifa unaona kabisa kwamba makocha wameamua kuchagua fimbo kwa ajili ya mapambano na kuacha bunduki.Mungu ibariki Taifa stars.
ReplyDeleteUnaonekana hujitambui, cha kwanza andika kiswahili tu maana kingereza hukijui unachapia. Pili nikukumbushe tu kuwa simba huu ni mwaka wa pili kuchukua ubingwa, kwahiyo katika miaka mitano ameshiriki michuano ya kimataifa Mara moja tu! Tatu makocha wote waliopita Azam na Yanga wana leseni za UEFA. Kabla hujaongea Fanya utafiti kwanza sio unakurupuka tu. Wachezaji walioipa simba mafanikio ni wa nje, hakuna jinsi wanaweza itwa timu ya taifa. Na wale wachache wa bongo waliofanya vizuri wameitwa ukiondoa mwenye nidhamu mbovu.
DeleteMfahamishenj hayo kiingozi Bwana Ten ambaye daima lugha yake ni yakubomoa badala ya kujikita kuijenga timu yake
ReplyDeleteTatizo la Ten hajui anaongea na nani!!! Manara mwenzake anajua kuhamasisha sasa yeye anapambana ameridhika na huo mchango wa Bilioni 1. Hahahahaha!!!!! kweli hujui hujui tuuuuuuuuuu. Kwa Yanga ilipofikia ni aibu siyo kujisifia huko.
ReplyDeleteProtas-Iringa
We need disciplined players regardless of which clubs they play for. Viva Taifa Stars
ReplyDelete