WALIOMALIZA MIKATABA NA MAJEMBE MENGINE MAPYA HAWA HAPA , NI LISTI KAMILI- VIDEO
YANGA imesajili wachezaji saba wa kigeni ambao ni mabeki, Lamine Moro (Ghana) na Mustapha Selemani (Burundi).
Washambuliaji, Sadney Ukhob (Benin), Issa Bigirimana (Burundi), Patrick Sibomana (Rwanda), Juma Balinya (Uganda) na Kalengo Maybin (Zambia).








Hao tuliokwisha kuwasajili ni tosha asilimiia Mia kubeba ubingwa huyo Ajib asiyetutaka mara moja nasi tumkatae mara kumi
ReplyDeletemwandishi utaacha lini ukanjanja ww issa bigirimana ni rwanda sio burundi wewee
ReplyDeletekuna waandishi wa Saleh Jembe ni vichwa maaajii..fanya research kabla ya kuandika...Sadney ni Mnamibia!kuna mwandishi mwingine hovyo jana alikaa akaharibu muda wake kama vile hana cha kufanya na kwa akili yake akatuchambulia jinsi Balinya anavyomfunika Kagere, na moja kwa moja Okwi!Acheni kuwa mnaandika pumba
ReplyDelete