UNAAMBIWA Yanga si ya mchezomchezo kwani hawataki kabisa utani, mpaka sasa tayari wamemalizana na majembe makali tisa ambayo ni chaguo la Kocha Mkuu, Mwinyi Zahera.
Majembe mapya 8 ambayo tayari yana uhakika wa kuvaa jezi za njano msimu ujao yataungana na kiungo fundi ambaye ameongeza mkataba na kufanya idaida yao igote namba 9 ni pamoja na:-
Patrick Sibomana ametoka Rwanda
Lamine Moro, ametoka Ghana
Issa Bigirimana ametoka Rwanda
Maybin Kalego ametoka Zambia
Mustapha Suleiman ametoka Burundi
Juma Balinyi ametoka Uganda
Sadney Urikhob ametokaa Namibia
Abdulaziz Makame ametoka visiwani Zanzibar
Papy Tshishimbi ameongeza mkataba wa miaka miwili yeye anatokea Congo.
Kuweka majina yao kwenye listi ya wachezaji wao mbona hiyo simpo tu..
ReplyDeleteIshu ni je, watamudu kuwalipa stahiki zao..??
Kwani wewe unashida gani hata wasipolipwa? Pilipili ya shamba inakuwashaje wewe uliye nyumbani?
Deleteukiweza kununua gari huwezi shindwa kununua Petrol !!
ReplyDeleteWengine wanayapaki
Deletengedere fc. inawachoma kutesa kwa zamu ogopa sana bakuli.
ReplyDeleteKuala lumpur malaysia....tim ya wananchi wawekezaji wananchi....tutachanga hadi kieleweke...baba ni baba tu hata ukimzidi hela!
ReplyDelete