KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema kuwa hatokuwa tayari kufanya kazi na kocha mzawa ambaye atatafutiwa na viongozi wa Yanga.
Zahera amesema ameskia taarifa za viongozi wa Yanga kuanza kufanya mchakato wa kumtafutia kocha msaidizi kwa ajili ya msimu ujao ambaye atakuwa mzawa jambo ambalo hakubaliani nalo.
"Najua kuna matatizo makubwa sana kufanya kazi na mzawa, haina maana kwamba hawezi kufanya kazi hapana ni matatizo tu ambayo wanayo hasa kwenye benchi la ufundi.
"Kocha mzawa sitafanya naye kazi, mimi ninamtafuta kocha wangu mwenyewe," amesema Zahera.

mmmmmh,c mliandika anamkubali xana mexime?iweje tena hawataki wazawa?
ReplyDeleteAende zake mbona anatuwekea masharti mno huyu kocha? Lazima na watanzania nao wapewe nafasi ya kuzifundisha timu zao kubwa
ReplyDeleteKocha mkuu ppote pale Duniani ndie anaependekeza msaidizi wake.Ila Zahera yupo juu ya Yanga yaani anachoamua yeye ndio hicho hicho kitu ambacho sio afya hata kwa mustakabali wa timu.
ReplyDeleteMgeni wako ndie muamuzi WA nyumba yako
ReplyDeleteHana Imani na wazawa
ReplyDeleteKisha tukalia. Hatuna nguvu kwake. Iko saki atasema anaihamishia yanga DRC hakuna atayepinga. Anacofanya mi kuzarau makocha wetu wa kitanzania jambo ambalo sio zuri kitaifa na kama timu. Je siki akiondoka nani ataishika Yanga kwa muda kama sio mzawa. Aondoke zake atuachie Yanga uetu
ReplyDeleteEnhee makubwa ...yamekuwa hayo tena...kulikoni?
Delete