Mshambuliaji wa Simba Ibrahim Ajibu ameamua kueleza ukweli juu ya suala la kuikacha TP Mazembe.
Wakati akiwa Yanga Ajibu alikuwa anhitajika Mazembe lakini Simba walimuwahi na kumpa dili nono.
"Niliondoka simba kwa miaka miwili nimerejea nyumbani sikugombana na mtu ndiomaana nimerudi naangalia maisha yangu kuhusu kutokwenda Tp Mazembe.
"Simba walinipa maslahi mazuri zaidi huo ndio ukweli ninaoujua mimi,nawashukuru wanayanga kwa kipindi nilichokuwa huko", amesema.
Kama simba wameweza kumsainisha beki wa kimataifa wa brazil ni dhahiri anachokisema Ajibu ni sahihi. Hao Mazembe wakati mwengine watanzania tumezoea kukariri jina.
ReplyDeleteWatanzania Sasa ni muda wa kuthamini chetu
ReplyDeleteAjib muulize ngassa kipi kimemtokea. Siku ajifuri hamtamsema.
ReplyDeleteAjib muulize ngassa kipi kimemtokea. Siku ajifuri hamtamsema.
ReplyDeletePovu ruksaaaaa
ReplyDeleteHakuna aliyeweza kumzuwia Ajib kurejea kwao juu ya kila mazengwe na ghadhabu zilizopindukia na waliposhindwa ndio wakamwita virusi
ReplyDeleteJe Simba hawatamwita tena Ajib ni Yanga?
ReplyDelete