BRAZIL YATWAA COPA AMERICA BILA NEYMAR, YAITANDIKA PERU 3-1
Brazil imefanikiwa kutwaa ubingwa wa michuano ya Copa America kwa ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Peru.
Wafungaji ni Everton Soares 15', Gabriel Jesus 45+3' & 70' na Ricjarlison 90' (P). Bao pekee la Peru limefungwa na Paolo Guerrero mnamo dakika ya 44' (P).
Brazil wamekipiga na peru bila uwepo wa nyota wao aliyevuliwa ukapteini hivi karibuni Neymar Jr ambaye ni majeruhi.
0 COMMENTS:
Post a Comment