July 8, 2019


RASMI Emmanuel Ammunike amesitishiwa mkataba wa kuinoa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars'.

Taarifa rasmi iliyotumwa na TFF kwa vyombo vya Habari leo imethibitisha, imeandikwa kama ifuatavyo:-

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Kocha wa Timu ya Taifa “Taifa Stars” Emmanuel Amunike tumefikia makubaliano ya pamoja kusitisha mkataba baina yetu.

TFF itatangaza Kocha wa muda atakaekiongoza Kikosi cha Timu ya Taifa kwa mechi za CHAN.

3 COMMENTS:

  1. Mimi kama mshabiki wa soka napendekeza makocha kwa haraka HANS PLUJIM au KIM POULSEN ambao wanawafahamu wachezaji wa kitanzania na wameshayazoea vizuri mazingara na soka la kwetu Tanzania.Ni maoni yangu na wengineo tuanze kampeni ya kupata kocha atakaye tuwezesha kututoa ktk level hii tuliyo nayo.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic