JOSE Mourinho amegoma kuikubali ofa ya kuinoa timu ya Guangzhou Evergrande inayoshiriki Ligi ya China.
Mourinho ambaye amewahi kuzifundisha timu kubwa za Ligi Kuu England na amekuwa hana bahati ya kudumu muda mrefu kama ilivyokuwa kwa Chelsea na Manchester United amesema kuwa atapata kazi muda si mrefu.
Tangu apigwe chini ndani ya United mwezi Desemba mwaka jana mpaka sasa hajapata timu ya kuifundisha.
0 COMMENTS:
Post a Comment