July 16, 2019


UONGOZI wa Simba umesema kuwa msimu ujao Simba watatumia jezi ya rangi nyekundu nyumbani na rangi nyeupe ugenini huku wakitumia rangi ya kijivu pale timu zinapogongana rangi.

Mtendaji mkuu wa timu ya Simba, Crecentius Magori amesema kuwa mpango huo ni kutokana na utaratibu wa Shirikisho la Soka la Afrika (Caf) 

"Timu imeweka kambi nchini Afrika Kusini ikiwa ni maalumu kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao kwenye ligi pamoja na michuano ya kimataifa.

"Kuhusu jezi simba itatumia jezi nyekundu nyumbani, jezi Nyeupe ugenini na jezi za kijivu ambayo ni natural (halisi) kwa mazingira yeyote endapo timu zitakuwa zimevaa jezi zinazofanana," amesema.

5 COMMENTS:

  1. Kweli hii ndio habari muhimu kwenye Press Conference ya Magori?Priority ya mwandishi ndio hii?Bado tuna safari ndefu sana kiuandishi.

    ReplyDelete
  2. Kweli hii ndio habari muhimu kwenye Press Conference ya Magori?Priority ya mwandishi ndio hii?Bado tuna safari ndefu sana kiuandishi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Inategemea na Magori mwenyewe amejielekeza zaidi kwenye nini. Na hata kwa nafadi yake pale Simba, Magori anacho nini cha kusema au kuagiza? Ndo maana amekuwa mtu wa saa 7 kamili; a teal CEO?

      Delete
    2. Na wewe pia una safari ndefu hivi ulichokisikia kwenye press conferrence ni hicho tu??? Kaongelea vitu vingi mnoo vya msingi pamoja na kujibu maswali ya waandishi.. tafuta source acha kusoma habari fupi fupi tu kwenye blog!

      Delete
  3. Umesikiliza Press Conference au unakariri tu?Ameongea mambo mengi ya msingi mojawapo ukiwa ni udhamini wa jezi kutoka Romario UHL wenye thamani ya milioni 300.Kweli unachukua jezi za kujibu ndio priority?

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic