July 17, 2019



MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara kwa sasa wameweka kambi nchini Afrika Kusini kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao.

Simba watapeperusha Bendera ya Taifa kwenye michuano ya kimataifa na wana kibarua kizito cha kutetea taji lao tena.

Dozi wanayoipata nchini Afrika Kusini ni asubuhi na jioni na kambi waliyoweka sio ya mchezomchezo kwani ilitumiwa na timu ya Taifa ya Uingereza kwenye michuano ya Kombe  la Dunia mwaka 2010 lililofanyika nchini Afrika Kusini.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic