July 10, 2019

JOSEPH Omog, anatajwa kuwa Kocha Mkuu wa muda wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' inayotarajiwa kushiriki michuano ya CHAN.

Omog ambaye aliwahi kuvinoa vikosi vya Azam na Simba kwa nyakati tofauti anatajwa kurithi kwa muda mikoba ya Emmanuel Ammunike.

Ammunike amefikia makubaliano ya kuvunja mkataba wake na Shirikisho la Soka Tanzania, TFF, kutokana na kuwa na mwenendo mbovu na timu ya Taifa ambayo imeishia hatua ya makundi kwenye michuano ya Afcon inayoendelelea nchini Misri.

16 COMMENTS:

  1. Kwa kweli nyinyi tff inaonekana wala hamjui mtendalo mpo mpo tu ndio nini maana yake au ndio tuwaelewe nini hasa huyo kocha kashindwa vilabu mnampa timu ya Taifa si bora angeendelea yule yule kuliko kumpa huyo?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe unamtaka nani, kwa vigezo vipi. Kila mtanzania ni kocha, Yesu tusaidie.

      Delete
  2. Si kocha mbaya hata kidogo ila TTF wangejaribu kwenda mbali au kuangaza mbali zaidi wangemrejesha tu mdenmark aliekuwa kocha wa vijana na kuwa kocha wa stars wa muda.

    ReplyDelete
  3. Nachoboreka ni aina ya makocha tunaotumia…. mpira wa sasa unaitaji kocha mwenye offensive mind, hawa wote akili yao iko kukaba kuliko kufunga

    ReplyDelete
  4. Omong hafai kufundisha ata namungo fc, kocha yule wa gormahia yupo poa sana.

    ReplyDelete
  5. Kwa nn tusitumie wazawa ??? Kama akina mexime??

    ReplyDelete
  6. Kwa nn tusitumie wazawa??? Kama akina mexime??

    ReplyDelete
  7. Kwa nn tusitumie wazawa??? Kama akina mexime??

    ReplyDelete
  8. Sisi wabongo hatuna chocha tunaeweza kumpa muda kwa matokeo mabovu ya mechi 2 au akipoteza mechi tunaanza kusema kocha mbovu sasa sijui tunahitaji kocha wa aina gani maana duniani kote hakuna kocha asiepoteza mechi japo kwake haimpendezi kupoteza lakini suala la kufungwa mechi 2 au 3 kwenye mpira ni suala la kawaida na limeshatokea kwa tim nyingi sana duniani sio kwetu tu

    ReplyDelete
  9. Kuwapa wazawa timu ya Taifa kwa sasa ni sawa na kwenda kumtwisha Kondoo mkokoteni ulioshindwa kukotwa na Punda.Sisi watanzania lakini kama vile tumeoteshwa kinyesi kwenye akili zetu badala ya akili. Kuna kocha yeyote mzawa mwenye kiwango cha Africa? Kwenye kipindi cha miaka sita au kumi kuna kocha yeyote mzawa alieiwezesha timu yake kuchukua ubingwa wa ligi kuu Tanzania? Au katika makocha wetu wazawa kuna yeyote yule wakati anacheza mpira aliwahi kushiriki Afcon angalau hatua ya makundi? Kwa kigezo gani hasa cha ushindani kwa timu ya taifa inayokusudia kushindana na timu kama Misri au Algeria au Nigeria mpaka kupelekea kukabidhiwa mzawa timu ya Taifa? Najua ni mawazo ya mtu kupendekeza wazawa lakini Inaonesha jinsi gani watanzania tulivyo na na akili finyu. Suala la kocha sio la kukurupuka hata kidogo na si la kulichelewesha ila umakini ni lazima ili kumpata mtu sahii..Kwanza kabisa muda wa akina Moroco ndani ya Taifa stars umeshapitwa na wakati kuwepo tena pale. Kimsingi hawana msaada wowote ndani ya Taifa stars zaidi ya kuendeleza Majungu zidi ya wachezaji na makocha wageni. Mbona makocha wenye uwezo wamejaa tele tu. Kwanini nchi ishindwe na Yanga au simba au hata Azam kuajiri makocha bora? Pale TFF kuna vilaza au vipi?

    ReplyDelete
  10. ETTIENE NDAIRAGIJE MACHINE ANAJUA KUANGALIA WACHEZAJI HUYO ANAFAA KABISA

    ReplyDelete
  11. YUPO AZAM PALE JAMANI WAMUONE HUYO NDAIRAGIJE JAMANI ANAWAJUA WAZAWA

    ReplyDelete
  12. TATIZO LA WATANZANIA TUNATAKA KWENDA PEPONI BILA KUPITIA HATUA YA UMAUTI.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic