July 15, 2019


MOTO wa Yanga umeanza leo ambapo kwenye mchezo wa kirafiki wameshinda mabao 10-1 dhidi ya timu ya Tanzanite FC mchezo uliochezwa uwanja wa Highlands Park, Morogoro.

Yanga imeweka kambi mkoani Morogoro na inatarajiwa kucheza mchezo wa kirafiki na AS Vita Agosti 4 uwanja wa Taifa kwenye kilele cha siku ya wananchi.

Mabao ya Yanga yamefungwa na Mrisho Ngassa alitupia mabao 3, Issa Bigirimana, Papy Tshishimbi, Balama Mapinduzi, Juma Balinya, Rapahael Daud, Sibomana na Feisal Salum 'Fei Toto' hawa walitupia mojamoja.

2 COMMENTS:

  1. Moto na Kwa matokeo hayo Nina hakika ubingwa wetu na kombe la klabu bingwa Afrika huenda tukalinyakuwa

    ReplyDelete
  2. hahahahaaaaaa, wacha kuchekesha watu wewe! yaani Yanga kumfunga Tanzanite imekuwa kipimo tosha cha kuchukua ubingwa wa ligi na club bingwa Africa? Tusidanganyane kabisa labda huo mpira unaujua wewe tu.!!!!

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic