KIKOSI cha Azam FC, kinachotarajia kukipiga dhidi ya KCCA ya Uganda kwenye mchezo wa fainali ya michuano ya Kombe la Kagame,Uwanja wa Nyamirambo, leo Jumapili saa 12.00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki.
16 Razak Abalora
02 Abdul Omary
26 Bruce Kangwa (C)
03 Daniel Amoah
15 Oscar Masai
05 Yakubu Mohammed
22 Salmin Hoza
28 Abdallah Masoud
20 Paul Peter
10 Obrey Chirwa
23 Idd Seleman
Akiba: Mwadini, Benedict, Gadafi, Lusajo, Kipagwile, Abalkassim, Ngoma
0 COMMENTS:
Post a Comment