July 21, 2019


MSHAMBULIAJI wa Simba, Meddie Kagere amesema kuwa msimu ujao ni mwendo wa kazi tu kwani tayari maandalizi yameanza nchini Afrika Kusini.

Kagere ni namba moja kwa utupiaji ndani ya Simba na msimu uliopita alipachika mabao 23 kwenye ligi huku kwenye michuano ya kimataifa akitupia mabao sita.

"Msimu uliopita tulifanya vizuri, sasa mpango wetu ni kufanya vizuri tena, kutokana na mazoezi ambayo tunayafanya basi hakuna matatizo tutapambana," amesema.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic