July 21, 2019


FRANK Lampard, Meneja wa Chelsea amesema kuwa atafanya kazi yake kwa umakini bila kuhitaji ushauri kutoka kwa makocha waliopita ndani ya kikosi hicho.

Lampard anakinoa kikosi hicho akichukua mikoba ya Maurizio Sarri ambaye amejiunga na Juventus.

"Nitafanya kazi kwa weledi bila kuhitaji ushauri kwa makocha waliopita kwani wao walifanya kwa wakati wao na sasa ni wakati wangu," amesema.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic