MCHEZO wa kuwania kufuzu michuano ya Chan kati ya Taifa umekamilika uwanja wa Taifa kwa sare ya bila kufungana.
Kipindi cha kwanza kwa timu zote mbili hakuna hata timu moja iliyopiga shuti lililolenga lango kwa mpinzani.
Stars ina kazi ya kufanya kwenye mchezo wa marudio utakaochezwa nchini Kenya Agosti 4.
Stars ina kazi ya kufanya kwenye mchezo wa marudio utakaochezwa nchini Kenya Agosti 4.
Lazima wawe na kazi ya kufanya, kikosi cha kwanza kilikuwa na wachezaji zaidi ya sita ambao wameingia kambini siku moja kabla ya game, huo muunganiko umetengenezwa lini? Kocha anatakiwa kujiamini, kama haya ndo yalifanya tumkatae Amunike basi kazi tunayo
ReplyDelete