July 28, 2019

12 COMMENTS:

  1. Ujinga mtupu iwalipe wachezaji wanaodai stahiki zao kwanza waache mbwembe za kifala.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mtapata tabu ambaye hajalipwa ahamie mikia. Maana mnateseka sana

      Delete
  2. Natengeneza Kwa wenzangu kwangu kwaporomoka

    ReplyDelete
  3. Kutoa ni moyo si lazima uwe tajiri. Kwani mnajua msaada gan au mbaropoka tu? Kuweni waelewa ninyi msiojitambua

    ReplyDelete
  4. Wasiojitambua ni Yanga inaendekeza kuendeleza migomo isiyoyalizima na wachezaji wake muhimu kwa kutojali kuwalipa haki zao mpaka wanafikia uamuzi wa kuikimbia timu huku uongozi wakijifanya kutoa misaada na kusajili wachezaji wapya kwa gharama kama si ufala kitu gani?

    ReplyDelete
  5. Siwezi kumshukuru mtoa sadaka anayekataa kulipa madeni yake. Unaambiwa mlipe kibaruwa haki yake kabla ya kukauka jasho lake

    ReplyDelete
    Replies
    1. Simba wote ni mamburura kwa mujibu wa aliyekuwa mwenyekiti wao Aden Rage hivyo hatuoni ajabu kwa ungese wanaoandika!

      Delete
  6. Unaweza sema hapa msaada walioutoa? Au unafuata tu mkumbo? Fuatilia kwanza kabla ya kukoment

    ReplyDelete
  7. Na huyu Yondani siwezi kumpa pole kwasababu kayataka mwenyewe mbona Ajibu alilijuwa la kulifanya

    ReplyDelete
  8. Kweli Ajib kafanya kitu cha maana kuondoka Yanga.
    Maana sasa hivi na yeye angekuwa kagoma.Welldone Ajib

    ReplyDelete
  9. Yanga ni kubwa kuliko yoyote yule, waliikuta na wataiacha. Kwani yeye ni nani?

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic