July 3, 2019


MAALIM Busungu mshambuliaji wa zamani wa timu ya Lipuli amesema kuwa kwa sasa yupo tayari kurejea kucheza mpira iwapo timu itatokea timu itakayompa dau la maana.

Busungu amesema kuwa kwa sasa yupo Dodoma akiendelea na shughuli za kilimo na hajaacha mpira kwa kuwa ndio kazi yake.

"Siwezi kuacha kucheza mpira kwa kuwa ni kazi yangu, kwa sasa nimepumzika huku Dodoma naendelea na shughuli zangu za kilimo, ikitokea timu yenye dau zuri nasaini," amesema.

1 COMMENTS:

  1. Maalim Busungu ana uhusiano na Malimi Busungu aliyekuwa akichezea Yanga?

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic