MARKO Arnautovic anahitaji kuiacha timu yake ya West Ham ili kujiunga na ligi ya China licha ya timu nyingi zinazoshiriki Ligi Kuu ya England kuhitaji saini yake.
Mshambuliaji huyo mwenye miaka 30 raia wa ambaye anawakilishwa na kaka yake Daniejel bdo hajapewa barua ya uhamisho kutoka timu yake ya wagonga nyundo
Hata hivyo bado anaamini kwamba kabla ya dirisha la usajili kufungwa ataondoka ndani ya kikosi hicho kutimkia China.
0 COMMENTS:
Post a Comment