July 21, 2019

7 COMMENTS:

  1. Haya mazoezi ya Simba ndio maandalizi sio Yanga wao mbio tu.....ratiba ya CAF CL imetoka timu zijiandae kama inavyofanya Simba ili nafasi ya kuingiza timu 4 tusizipoteze....nina mashaka sana na Yanga naona hawako makini Township Rollers waliyopangiwa ni timu ngumu sana wasijekuishia raundi za awali....maana kama akipita hapo Zesco ya Zambia inamsubiri.....naona Tanzania tutapoteza zile nafasi 4 ikiwa moja ya timu zetu zitatolewa mechi za raundi ya awali

    ReplyDelete
  2. Yanga tupo vizuri tu wasiwasi ondoa kambi Morogoro ipo vizuri kocha safi wachezaji safi msosi safi hatuna tatizo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Acha kuwadanganya Yanga kwa kuwaaminisha kitu cha uongo...

      Delete
  3. Wachezaji 3 hawapo kambini.Yondani,Vincent Chifupe na Juma Abdul wamegoma wanataka walipwe pesa zao.Tuweni wakweli mambo sio shwari nilikuwa Bigwa Morogoro. Tusemeni kweli.Mazoezi hamna vifaa ni kukimbia tu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. This comment has been removed by the author.

      Delete
  4. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  5. Afadhali wewe umekuwa mkweli...hili ni tatizo kubwa kwa timu zetu zikiwemo za za Taifa na haswa Vilabu vinavyowakilisha kwenye mashindano ya kimataifa"kuyaficha"madhaifu yetu....halafu uhalisia unaonekana kwenye matokeo kupigwa 3 ama 5.....maandalizi yetu mara nyingi ni duni na ya hali ya chini mno...ila hatutaki kuambiwa ukweli ili tujirekebishe

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic