July 21, 2019

AZAM FC waliokuwa mabingwa watetezi wa kombe la Kagame leo wamevuliwa ubingwa wao kwenye mchezo wa hatua ya fainali uliochezwa nchini Rwanda kwa kufungwa bao 1-0 na KCCA ya Uganda.

Azam FC ambao wametinga hatua ya fainali ya michuano ya Kagame mara nne walitwaa kombe hilo msimu uliopita baada ya kushinda kwa mabao 2-1 dhidi ya Simba uwanja wa Taifa.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic