July 15, 2019


MWEKEZAJI wa Simba, Mohamed Dewj, leo ameandika ujumbe mfupi ambao umeacha maswali mengi kwa mashabiki na wadau wa soka kutaka kujua maana ya maneno hayo.

Mo amekuwa na kawaida ya kuandika ujumbe mfupi kwenye kurasa zake ambao umekuwa ukiacha maswali mengi kwa wanaomfuatilia kwa sasa.

Kupita ukurasa wake wa Instagram, Mo ameandika namna hii : "Uongo unapanda kwa lifti.Ukweli unapanda kwa ngazi,".

Kauli hiyo imeamsha hisia za wadau wengi wakitaka ufafanuzi zaidi kwani maneno ni mafupi na hayajatolewa ufafanuzi zaidi.

6 COMMENTS:

  1. Maana ys maneno yenye hekima ni kwamba wengi huwa wanashabikia uongo kiurahisi kuliko kutafuta ukweli hasa waandishi wetu uchwara.Kazi yao kubwa ni kushabikia majungu na uongo.Kazi yao sio kujenga bali kubomoa.

    ReplyDelete
  2. Hii ndo shida ya kumtegemea mtu maana hata akipiga chafya watu wanatafuta sababu kwa nini amepiga chafya.Tutaumiza sana vichwa na kukosa usingizi kwa kutokujua nini hatma ya kesho yetu maan imeshikwa na mtu mmoja.

    ReplyDelete
  3. We hapo juu unaesema shida ya kumtegemea mtu mmoja nadhani wenzako wanakukalia mcenge.Aliepewa kapewa hata ukifanaya Majungu ni kazi bure. Hayo majungu ya kusema kuwa anategewa mtu mmoja ni miongoni mwa huo uongo wenyewe. Simba nzima awepo Mo tu bila ya viongozi wengine na wachezaji tu kutakuwa na Simba? Mo anategemewa simba kama kiongozi hata kama atakuwa hana nafasi ya kifedha kama alivyo sasa lakini bado ni mwanafamilia wa simba. Hizo chuki na wivu unaokupelekeeni kuisukumia majungu simba mtapata taabu sana.

    ReplyDelete
    Replies
    1. We choko weka hoja mezani na wala usikimbilie kutoa matusi.Acha ushoga ms....nge

      Delete
  4. maneno ya vyura yamekuwa mengi sana baada ya kuachwa solemba na manji. Wamepiga magoti weeee kuomba arudi wapi. uchaguzi wamegomea wakidai Manji mwenyekiti wao wakati jamaa hataki moaka walipoburutwa na sheria. Sasa ndo tuwasikia ooh mara mwananchi , oooh mara kutegemea mtu mmoja. sasa kuwa ombaomba kwani simba atashindwa? kama nyie wao wameweza kuwa ombaomba basi na simba akiamua mbona hakuna tatizo. lakini kwa wakati huu mwacheni simba ale bata

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic