BAADA ya kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania kilicho chini ya nahodha Mbwana Samatta kufungasha virago kwenye michuano ya Afcon inayoendelea nchini Misri na wenyeji pia Misri wakiongozwa na mshambuliaji wao Mohamed Salah kufungashiwa virago watawatazama hawa hapa waliotinga hatua ya robo fainali:-
Julai 10
Benin v Senegal
Nigeria v Afrika Kusini
Julai 11
Algeria v Ivory Coast
Madagascar v Tunisia
0 COMMENTS:
Post a Comment