Zidumu fikra za Mo za kuifanya Simba kuwa klabu ianayojitegemea. Zidumu fikra na mikakati ya Mo za kuifanya Simba kuwa timu ya ushindani wa kweli Africa. Wanaompinga na kumfanyia figisu Mo ni watu wanaopigania maslahi yao binafsi na Mo ni kikwazo kwao kwakuwa Mo siku zote ameeka maslahi ya simba kwanza.Mo pia ni mwanasimba asikubali kuwapa nafasi wale wenye nia mbaya na maendeleo ya klabu. Kitendo chochote cha kuondoka Mo ndani ya Simba ni kuwapa ushindi hawa wapumbavu na wezi wanaojifanya wanaimani na timu. Miaka michache tu iliyopita Simba tulidhalilika na kunyanyaswa katika kila eneo. Tuliporwa wachezaji wetu mchana kweupe. Kila mchezaji tulietaka kumsajili tulinyan'ganywa na Yanga au azam. Wachezaji walikosa mishahara na tulishindwa kupata nafasi ya kuiwakilisha nchi kimataifa hadi kuitwa wa matopeni. Jamani wanasimba tumeshasahau? Suala la muekazaji kufanyiwa vitendo vyovyote vya hujuma ni suala la.. kihaini ndani ya klabu ya Simba na kwa kweli haikupaswa hata kidogo kufikia kiwango hadi muekazaji mwenyewe ndie anaelalamikia hujuma .Wanasimba, Wanachama na wapenzi wanaoitakia mema klabu yao ndio waliotakiwa kupaza sauti zaidi kukemea ujinga huu wa hawa wasiliti.Kuondokewa na muekazaji kama itatokea basi bora hata tuvunje klabu kwa sababu hakika itakuwa ni zaidi ya kufeli. Hao wapuuzi wanaosema sijui klabu inaweza kujiendesha wenyewe... ni unafiki mtupu zaidi ni kwamba kwa sasa hawawezi kuiba tena na hata hizo mali za Simba walizoiiba muda si mrefu watatakiwa kuzirejesha na hapo ndipo figisu juu ya Mo na kufanyiwa usaliti ndipo unapoanza. Wanasimba naona tunatakiwa kuamka ziidi la sivyo tukizembea kuachia huu upuuzi uendelee tutajuta muda si mrefu .
Zidumu fikra za Mo za kuifanya Simba kuwa klabu ianayojitegemea. Zidumu fikra na mikakati ya Mo za kuifanya Simba kuwa timu ya ushindani wa kweli Africa. Wanaompinga na kumfanyia figisu Mo ni watu wanaopigania maslahi yao binafsi na Mo ni kikwazo kwao kwakuwa Mo siku zote ameeka maslahi ya simba kwanza.Mo pia ni mwanasimba asikubali kuwapa nafasi wale wenye nia mbaya na maendeleo ya klabu. Kitendo chochote cha kuondoka Mo ndani ya Simba ni kuwapa ushindi hawa wapumbavu na wezi wanaojifanya wanaimani na timu. Miaka michache tu iliyopita Simba tulidhalilika na kunyanyaswa katika kila eneo. Tuliporwa wachezaji wetu mchana kweupe. Kila mchezaji tulietaka kumsajili tulinyan'ganywa na Yanga au azam. Wachezaji walikosa mishahara na tulishindwa kupata nafasi ya kuiwakilisha nchi kimataifa hadi kuitwa wa matopeni. Jamani wanasimba tumeshasahau? Suala la muekazaji kufanyiwa vitendo vyovyote vya hujuma ni suala la.. kihaini ndani ya klabu ya Simba na kwa kweli haikupaswa hata kidogo kufikia kiwango hadi muekazaji mwenyewe ndie anaelalamikia hujuma .Wanasimba,
ReplyDeleteWanachama na wapenzi wanaoitakia mema klabu yao ndio waliotakiwa kupaza sauti zaidi kukemea ujinga huu wa hawa wasiliti.Kuondokewa na muekazaji kama itatokea basi bora hata tuvunje klabu kwa sababu hakika itakuwa ni zaidi ya kufeli. Hao wapuuzi wanaosema sijui klabu inaweza kujiendesha wenyewe... ni unafiki mtupu zaidi ni kwamba kwa sasa hawawezi kuiba tena na hata hizo mali za Simba walizoiiba muda si mrefu watatakiwa kuzirejesha na hapo ndipo figisu juu ya Mo na kufanyiwa usaliti ndipo unapoanza. Wanasimba naona tunatakiwa kuamka ziidi la sivyo tukizembea kuachia huu upuuzi uendelee tutajuta muda si mrefu .