MWINYI Zahera Kocha Mkuu wa Yanga leo amewasili kambini Morogoro na kupokelewa kwa shangwe za kutosha na mashabiki wa mkoani Morogoro.
Zahera amerejea akitokea nchini Ufaransa ambapo alikuwa huko kwa likizo ya siku 13 baada ya kumaliza michuano ya Afcon na timu yake ya Taifa ya Congo akiwa ni kocha msaidizi.
Zahera atashuhudia kikosi chake leo kikimenyana na Mawenzi Market mchezo wa kirafiki maalumu kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao.

0 COMMENTS:
Post a Comment